Misemo na Majibu za Abunwasi
0/5 - - 0 vote

02/13/2019 02/15/2019

KISWAHILI QUOTES

 1. Maisha ni kama baiskeli ili iende lazima uchochee.
 2. Hakuna atakaye endesha katika mgongo wako labda uiname.
 3. Lipa kwanza utacheza baadaye.
 4. Huwezi penda kila mtu na huwezi chukia kila mtu.
 5. Huhitaji miwani ndio uone maisha yyyyya baadaye.
 6. Ubinafsi waweza kufungua milango lakini tabia tu ndio itakayoiweka wazi.
 7. Nikumbuke katika maombi kama vile unikumbukavyo katika masengenyo.

 

 BY...KEMUNTO JANE


MAJIBU ZA ABUNWASI
Mwalimu aliuliza, ‘‘Kama mtoto mdogo huitwa mchanga je mtoto mkubwa huitwa nani?? Nikajibu huitwa simiti,sasa nimeambiwa niende kwa ofisi nathani wanataka niwe mwalimu wa KISWAHILI...
 • Follow Elimu:
 • http://www.twitter.com/elimuholdings

Elimu Media

News and Stories from the education world

Share this page

0 comment

0 star
+ =

Follow us

 • http://www.facebook.com/Elimu-Holdings-Limited-1538954733045502/?ref=br_rs
 • http://www.twitter.com/elimuholdings

2008-2020 © @elimuholdings